Nitakushukuru Bwana Kila Wakati
| Nitakushukuru Bwana Kila Wakati | |
|---|---|
| Performed by | St. Joseph Cathedral Dar-es-Salaam |
| Category | Thanksgiving / Shukrani |
| Views | 8,803 |
Nitakushukuru Bwana Kila Wakati Lyrics
Nitakushukuru Bwana kila wakati *2
Umenitendea mambo makuu, siku zote waniongoza
Nitakushukuru Bwana kila wakati- Kwa kuwa Bwana ni mwema,
Na mwingi wa rehema, kwao wamchao - Maana kwa wema wako,
Tumepokea chakula, kutoka Mbinguni - Katika mapito yangu,
Katika tabu zangu, umeniongoza - Nitakushukuru Bwana,
Nitakuimbia Bwana, daima milele