Login | Register

Sauti za Kuimba

Nitakushukuru Bwana Kila Wakati Lyrics

NITAKUSHUKURU BWANA KILA WAKATI

Nitakushukuru Bwana kila wakati *2
Umenitendea mambo makuu, siku zote waniongoza
Nitakushukuru Bwana kila wakati

 1. Kwa kuwa Bwana ni mwema,
  Na mwingi wa rehema, kwao wamchao
 2. Maana kwa wema wako,
  Tumepokea chakula, kutoka Mbinguni
 3. Katika mapito yangu,
  Katika tabu zangu, umeniongoza
 4. Nitakushukuru Bwana,
  Nitakuimbia Bwana, daima milele
Nitakushukuru Bwana Kila Wakati
CHOIRSt. Joseph Cathedral Dar-es-Salaam
CATEGORYThanksgiving / Shukrani
 • Comments