Roho ya Bwana
Roho ya Bwana | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Roho Mtakatifu (Pentecoste) |
Views | 5,491 |
Roho ya Bwana Lyrics
{ Roho ya Bwana imeujaza ulimwe-ngu
Nayo inayoviunganisha viumbe vyote ee
Hujua maana ya kila sauti aleluya } *2- Kama Roho Mtakatifu alivyowajalia
Petro akasema kwa sauti kubwa - Watu wa Uyahudi nanyi jueni
Jueni jambo hili mkalitimize - Roho wake atujaze na mapaji yake
Tuyafuate mema tufike Mbinguni