Kanisa la Kitume
Kanisa la Kitume | |
---|---|
Performed by | Kwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha |
Album | Kando ya Mito |
Category | Church |
Composer | John Mgandu |
Views | 7,423 |
Kanisa la Kitume Lyrics
Kanisa la kitume (kanisa la kitume)
Kwa sababu Roho Mtakatifu aliwashukia
{ Wale wote waliokuwapo , wale wote waliokuwepo
wakati wa pentekoste wakati wa pentekoste } *2- Asili ya kanisa letu limetoka kwa mitume
Na limeendelea kukua tangu wakati huo - Huu muungano na mitume unadokeza kwa kanisa
Kuwa mwaminifu kwa mafundisho
Yaliyofunuliwa na Yesu na mitume kwetu sisi - Roho Mtakatifu ni mjumbe wa mitume na kanisa
Atakuwa kati yao kila wakati
Ni mwalimu wa habari njema aliyoihubiri Yesu