Amka Ewe Usinziaye

Amka Ewe Usinziaye
Choir-
AlbumKila Kunapokucha
CategoryTafakari
ComposerVictor Aloyce Murishiwa
SourceMwanza Tanzania

Amka Ewe Usinziaye Lyrics

Amka ewe usinziaye, amka ewe usinziaye
Amka, amka, fungua macho, amka
Pesa ni kitu cha kushangaza
Imezitega nyoyo za watu tazama,
Tazama uaminifu hakuna
Imejenga matabaka kwa maskini na matajiri, pesa
Imekuwa ni kitanzi, inafilisha hata sheria, pesa
Inagombanisha ndugu kwa ndugu pesa (tena)
Imekuwa ndiyo mzizi wa tamaa
Lakini ajabu ni kwamba,
Pesa kamwe pesa kamwe,
haitanunua mbingu ee Mungu
kama matajiri wangemiliki hewa,
maskini wangekuwa wapi
Kama matajiri wangemiliki mbingu,
maskini wangekosa haki1. Pesa ni rafiki kwenye shida zako
lakini pesa ni adui kwenye raha zako

2. Pesa yabadili msimamo wako
Tazama pesa ni mbolea hustawisha dhambi


3. Pesa ni mtego kwa imani yako
Na tena pesa ni kioo kwa tabia yako
Recorded also by St. Claire Gatimu Kawangware, Nairobi

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Sasa Wakati Umefika 7482439
Zaeni Matunda Mema 5814860
Huniongoza Mwokozi 5814856
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442