Angalieni Kesheni

Angalieni Kesheni
Performed byMaria Mt Mama wa Mungu Musoma
AlbumSilegei
CategoryMafundisho ya Yesu
ComposerJohn Mgandu
Views3,967

Angalieni Kesheni Lyrics

  1. Angalieni ke-sheni na ku-jiweka tayari
    asije Bwana akawakuta m-melala
    Angalieni ke-sheni na ku-jiweka tayari
    asije Bwana akawakuta m-melala

  2. Ke-sheni kesheni basi kwa maana hamjui
    Ni siku ipi atakayokuja Bwana kwenu
  3. Lakini fahamuni neno hili, Kama mwenye nyumba angalijua
    saa atakayokuja mwenyeji angali kesha angali kesha
  4. Nanyi jiwekeni tayari, kwa kuwa saa msiyodhani
    Ndipo ajapo ajapo Mwana wa Adamu