Angalieni Kesheni

Angalieni Kesheni
ChoirMaria Mt Mama wa Mungu Musoma
AlbumSilegei
CategoryMafundisho ya Yesu
ComposerJohn Mgandu
Musical Notes
Timesignature2 4
MusickeyA Flat Major
NotesOpen PDF

Angalieni Kesheni Lyrics


Angalieni ke-sheni na ku-jiweka tayari
asije Bwana akawakuta m-melala
Angalieni ke-sheni na ku-jiweka tayari
asije Bwana akawakuta m-melala1. Ke-sheni kesheni basi kwa maana hamjui
Ni siku ipi atakayokuja Bwana kwenu

2. Lakini fahamuni neno hili, Kama mwenye nyumba angalijua
saa atakayokuja mwenyeji angali kesha angali kesha

3. Nanyi jiwekeni tayari, kwa kuwa saa msiyodhani
Ndipo ajapo ajapo Mwana wa Adamu

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Sasa Wakati Umefika 7482439
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Tazama Tazama 7482442