Asante Mungu Mwenyezi

Asante Mungu Mwenyezi
ChoirSt. Veronicah Kariakoo
AlbumWalinizunguka Kama Nyuki
CategoryThanksgiving / Shukrani
ComposerVictor Aloyce Murishiwa

Asante Mungu Mwenyezi Lyrics

Asante Mungu Mwenyezi, asante (asante)
Muumba mbingu na nchi, asante
{ Nakushukuru Mungu wangu kwa mema yako yote (leo)
Milele hata milele nitaimba sifa zako (mimi)
Nitaimba sifa zako kwa shangwe } * 2


1. Kwa wingi wa fadhili zako nakushukuru Bwana
Kwa wingi wa rehema zako asante Mungu wangu

2. Umeniumba mimi Bwana ukanipa akili
Ninakushukuru ee Mungu kwa moyo wangu wote

3. Nitaziimba sifa zako katika kusanyiko
Nitatanganza Neno lako milele na milele

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Zaeni Matunda Mema 5814860
Sasa Wakati Umefika 7482439
Huniongoza Mwokozi 5814856
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442