Bali Mimi Nikutazame
| Bali Mimi Nikutazame | |
|---|---|
| Performed by | Kwaya ya Moyo Safi wa Bikira Maria, Unga Limited Arusha |
| Album | Nikupe Nini Mungu Wangu |
| Category | Zaburi |
| Composer | Deo Mhumbira |
| Views | 9,179 |
Bali Mimi Nikutazame Lyrics
{ Bali mimi nkutazame uso wako (katika haki)
Niamkapo nishibishwe kwa sura yako } * 2- Ee Bwana usikie haki ukisikilize kilio changu
Utege sikio lako kwa maombi yangu - Nyayo zangu zimeshikamana na njia zako ee Bwana wangu
Hakika hatua zangu hazikuondoshwa