Bikira Mama wa Yesu

Bikira Mama wa Yesu
Performed by-
AlbumUpendo na Amani
CategoryTBA
ComposerG. C. Mkude
Views3,957

Bikira Mama wa Yesu Lyrics

BIKIRA MAMA WA YESU


  • Bikira mama wa Yesu tunakusalimu
    Pokea zetu salamu mama yetu mwema
    {Sisi wanao twakulilia mama yetu Maria
    Twahangaika bondeni huku kwenye machozi
    Utuokoe Mama, kwenye mateso ha-ya} * 2

    Tuombee Mama kwa Mwanao Yesu Kristu
    Sisi wakosefu yafute makosa yetu
  • Mama yetu mwema njoo ukae na sisi
    Njoo utulinde na maadui wabaya
  • Fukuza shetani asitutie gizani
    Njoo njoo mama wanao twaangamia