Bwana Yesu Amenipigania

Bwana Yesu Amenipigania
ChoirSame KMJ
AlbumWatikisa Kibuyu
CategoryZaburi
ComposerAugustine Rutta

Bwana Yesu Amenipigania Lyrics


Bwana Yesu amenipigania, dhidi ya jeshi la shetani lote
{ Farasi na wapanda farasi wake,
Amewatupa baharini na silaha zao wameangamia
Nami nitainuka leo, nikamshangilie jemedari mkuu Bwana wa vita } * 21. Adui shetani alitamba akirandaranda popote
Sasa ametupwa baharini na jeshi lake lote
Hebu fikiri Bwana Yesu Getsemani na Kalvari
Alimshinda kwa msalaba na sisi tumekombolewa

2. Ulipolala kwenye mauti alitufungulia mlango
Alitutoa kule kuzimu akatuweka pa salama
Msalaba wetu ndiyo kinga silaha nayo ngao yetu
Tukapigane kwa ujasiri tupate kuingia kwake

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442