Bwana Alitutendea Mambo Makuu Lyrics

BWANA ALITUTENDEA MAMBO MAKUU

@ Deo Mhumbira

Bwana alitutendea mambo makuu
Bwana alitutendea mambo makuu
tulikuwa tukifurahi tukifurahi
(Tulikuwa tukifurahi) tulikuwa tukifurahi
Alitutendea mambo makuu
Bwana alitutendea mambo makuu
Tulikuwa tukifurahi tukifurahi
(Tulikuwa tukifurahi) tulikuwa tukifurahi

 1. Bwana alipowarejesha mateka wa sayuni
  Tulikuwa kama waotao ndoto
  Ndipo kinywa chetu kilipojaa kicheko
  Na ulimi wetu kelele za shangwe
 2. Ndipo waliposema katikati ya mataifa
  Bwana amewatendea mambo makuu
  Bwana alitutendea mambo makuu
  Tulikuwa tukifurahi
 3. Bwana uwarejeshe watu wetu waliofungwa
  Kama vijito vya kusini
  Wale watu wapandao kwa machozi
  Watavuna kwa kelele za shangwe
Bwana Alitutendea Mambo Makuu
COMPOSERDeo Mhumbira
CHOIRSt. Cecilia Mirerani
ALBUMUpendo na Amani
CATEGORYZaburi
REFZab 126
MUSIC KEYA Major
TIME SIGNATURE3
8
NOTES Open PDF
 • Comments