Bwana Asema Mimi Ni Wokovu
Bwana Asema Mimi Ni Wokovu | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Zaburi |
Composer | Joseph Makoye |
Views | 6,645 |
Bwana Asema Mimi Ni Wokovu Lyrics
{Bwana asema mimi ni wokovu wa watu
Wakinililia katika taabu yoyote
Nitawasikiliza nami nitakuwa Bwana wao milele} * 2- Ewe Bwana uliirithia nchi yote
Umewarejesha mateka wa Yakobo - Umeusamehe uovu wa watu wako
Umezisitiri hatua zao zote