Ee Bwana Mwumba wa Vitu
Ee Bwana Mwumba wa Vitu |
---|
Performed by | - |
Album | Kila Kunapokucha |
Category | Zaburi |
Views | 3,010 |
Ee Bwana Mwumba wa Vitu Lyrics
{Wewe Bwana Muumba wa vitu vyote wewe ni wa kutisha
Na mwenye nguvu papo hapo mwingi wa huruma na haki } * 2
{Wewe peke yako ni mfalme, na wewe peke yako ni mfalme
Hapana aliye mwema ila wewe Bwana } * 2
- Hapana aliye na fadhili na atendaye sawa ila wewe
Wewe ndiwe mwenye nguvu tena na mwenye nguvu na wa siku zote
Wewe wawaokoa waisraeli katika uovu wote
Ulichagua watu wazee na kuwaweka wakikuu
Ipokee dhabihu tunayokutolea kwa niaba ya watu
- Na uwakusanye watu wetu waliotawanyika duniani
Uwaachilie wale walio utumwani nchi za kigeni
Na uwaangilie kwa huruma watu wanyanyasikao
Pia waangalie kwa huruma watu wadharauliwao
Uwafanye mataifa watambue wewe Mungu wetu