Ee Bwana Mungu Wetu Utuokoe
Ee Bwana Mungu Wetu Utuokoe | |
---|---|
Performed by | St. Cecilia Kijenge |
Category | Zaburi |
Composer | J. Urassa |
Views | 5,175 |
Ee Bwana Mungu Wetu Utuokoe Lyrics
{Ee Bwana Mungu wetu utuokoe
Utukusanye kwa kututoa katika mataifa } * 2
Tulishukuru jina la Bwana takatifu
Tuzifanyie shangwe (sifa zako) Sifa zako Bwana- Ahimidiwe Bwana Mungu wa Israeli
Tangu milele hata milele, watu wako waseme sifa kwa Mungu - Mshukuruni Bwana Mungu kwani ni mwema
Mshukuruni kwa maana fadhili zake ni za milele na milele - Mfanyieni Bwana shangwe dunia yote
Mtumikieni kwa furaha njooni mbele zake kwa kuimba zaburi