Ee Bwana Mungu Wetu Utuokoe

Ee Bwana Mungu Wetu Utuokoe
ChoirSt. Cecilia Kijenge
CategoryZaburi
ComposerJ. Urassa

Ee Bwana Mungu Wetu Utuokoe Lyrics


{Ee Bwana Mungu wetu utuokoe
Utukusanye kwa kututoa katika mataifa } * 2
Tulishukuru jina la Bwana takatifu
Tuzifanyie shangwe (sifa zako) Sifa zako Bwana1. Ahimidiwe Bwana Mungu wa Israeli
Tangu milele hata milele, watu wako waseme sifa kwa Mungu


2. Mshukuruni Bwana Mungu kwani ni mwema
Mshukuruni kwa maana fadhili zake ni za milele na milele

3. Mfanyieni Bwana shangwe dunia yote
Mtumikieni kwa furaha njooni mbele zake kwa kuimba zaburi

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442