Ee Bwana Mungu Wetu Utuokoe
Ee Bwana Mungu Wetu Utuokoe | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Zaburi |
Composer | Joseph Makoye |
Views | 4,397 |
Ee Bwana Mungu Wetu Utuokoe Lyrics
{Ee Bwana Mungu wetu utuokoe
Utukusanye kwa kututoa katika mataifa
Tulishukuru Jina lako takatifu
Tuzifamnyie shangwe sifa zako } * 2- Shukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema
Kwa maana fadhili zake ni za milele - Nani awezaye kuyanena matendo makuu ya Bwana
Kuzihubiri sifa zake