Ee Bwana Mungu Wetu Utuokoe

Ee Bwana Mungu Wetu Utuokoe
Choir-
CategoryZaburi
ComposerJoseph Makoye

Ee Bwana Mungu Wetu Utuokoe Lyrics


{Ee Bwana Mungu wetu utuokoe
Utukusanye kwa kututoa katika mataifa
Tulishukuru Jina lako takatifu
Tuzifamnyie shangwe sifa zako } * 2


1. Shukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema
Kwa maana fadhili zake ni za milele

2. Nani awezaye kuyanena matendo makuu ya Bwana
Kuzihubiri sifa zake

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442