Ee Bwana Kumbuka Rehema Zako
Ee Bwana Kumbuka Rehema Zako |
---|
Performed by | St. Maurus Kurasini |
Album | Hubirini Kwa Kuimba |
Category | Zaburi |
Composer | John Mgandu |
Views | 6,902 |
Ee Bwana Kumbuka Rehema Zako Lyrics
{Ee Bwana, ee Bwana ee Bwana kumbuka rehema zako
na fadhili zako ee Bwana }* 2
{Kwa maana zimekuwapo
Kwa maana zimekuwapo tokea zamani
Kwa maana zimekuwapo tokea zamani } * 2
- Ee Bwana ee Bwana unijulishe njia zako
Unifundishe mapito yako
Uniongoze katika kweli yako na kunifundisha
Maana wewe ndiwe Mungu wa wokovu wangu
- Usiyakumbuke makosa makosa ya ujana wangu
Wala maasi yangu
Unikumbuke kwa kadiri ya fadhili zako ee Bwana
Kwa ajili ya wema wako, kwa ajili ya wema wako