Bwana Yesu Waniita

Bwana Yesu Waniita
Alt TitleNiwe Wako
Performed byShirikisho la Kwaya Katoliki Dsm (Shikwaka)
AlbumBwana Yesu Waniita
CategoryInjili na Miito (Gospel)
ComposerFr. Mutajwaha
Views7,781

Bwana Yesu Waniita Lyrics

  1. Bwana Yesu waniita niwe wako
    Niwe wako Bwana Yesu siku zo-te

    { Niwe wako, Bwana Yesu (Bwana Yesu) siku zote,
    Niwe wako Bwana Yesu siku zo-te } *2

  2. Ndiyo Bwana naitika mwito wako
    Niwe wako Bwana Yesu siku zote
  3. Ni furaha kusikia waniita
    Niwe wako Bwana Yesu siku zote
  4. Nimekuja wala nyuma sigeuki
    Niwe wako Bwana Yesu siku zote