Ee Bwana Nitakutukuza
Ee Bwana Nitakutukuza |
---|
Performed by | - |
Category | Zaburi |
Composer | F. Kashumba |
Views | 4,443 |
Ee Bwana Nitakutukuza Lyrics
Ee Bwana nitakutukuza, ee Bwana nitakutukuza
Kwa maana umeniinua wala hukuwafurahisha adui zangu juu yangu
Kwa maana umeniinua wala hukuwafurahisha adui zangu juu yangu
- Ee Bwana Mungu wangu, nilikulilia ukaniponya
- Ee Bwana Mungu wangu, umeniinua kutoka kuzimu
- Ee Bwana umeniuhuisha na kunitoa kati yao watokao shimoni
- Mwimbieni Bwana zaburi enyi watauwa wake na kufanya shukurani