Ee Bwana Nitakutukuza

Ee Bwana Nitakutukuza
Choir-
CategoryZaburi
ComposerF. Kashumba
SourceSt. Theresa Cathedral Arusha Tanzania

Ee Bwana Nitakutukuza Lyrics


Ee Bwana nitakutukuza, ee Bwana nitakutukuza
Kwa maana umeniinua wala hukuwafurahisha adui zangu juu yangu
Kwa maana umeniinua wala hukuwafurahisha adui zangu juu yangu


1. Ee Bwana Mungu wangu, nilikulilia ukaniponya

2. Ee Bwana Mungu wangu, umeniinua kutoka kuzimu

3. Ee Bwana umeniuhuisha na kunitoa kati yao watokao shimoni

4. Mwimbieni Bwana zaburi enyi watauwa wake na kufanya shukurani

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442