Ee Bwana Nimekuita
| Ee Bwana Nimekuita | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Zaburi |
| Composer | John Mgandu |
| Views | 5,733 |
Ee Bwana Nimekuita Lyrics
Ee Bwana ee Bwana, nimekuita kwa maana utaitika
{Utege sikio lako utege sikio lako usikie neno neno langu } * 2- Ee Bwana unilinde kama mboni ya jicho
Unifiche chini ya uvuli wa mbawa zako - Ee Bwana kwa mkono wako wa kuume
Uniokoe nao wanaoondokea