Inua Macho Yako
Inua Macho Yako | |
---|---|
Performed by | St. Maurus Kurasini |
Album | Hubirini Kwa Kuimba |
Category | Epiphany |
Composer | Joseph Makoye |
Views | 5,527 |
Inua Macho Yako Lyrics
{ Inua macho yako, utazame pande zote (za dunia)
Wote wanakusanya na wanakujia wewe } *2- Wana wako watakuja wakitoka mbali
Na wale binti zao wote watabebwa nyongani - Ndipo utakapoona na kutiwa nuru
Na moyo utatetemeka na kuvunjika - Wote watafurikia wakitoka Sheba
Dhabihu pia na uvumba vitatolewa - Watakutolea hizo tunu zote safi
Na pia watazitangaza sifa zake Bwana