Inua Macho Yako

Inua Macho Yako
ChoirSt. Maurus Kurasini
AlbumHubirini Kwa Kuimba
CategoryEpiphany
ComposerJoseph Makoye
ReferenceIsaya 60
Musical Notes
Timesignature3 8
MusickeyG Major
NotesOpen PDF

Inua Macho Yako Lyrics

{ Inua macho yako, utazame pande zote (za dunia)
Wote wanakusanya na wanakujia wewe } *2


1. Wana wako watakuja wakitoka mbali
Na wale binti zao wote watabebwa nyongani

2. Ndipo utakapoona na kutiwa nuru
Na moyo utatetemeka na kuvunjika

3. Wote watafurikia wakitoka Sheba
Dhabihu pia na uvumba vitatolewa

4. Watakutolea hizo tunu zote safi
Na pia watazitangaza sifa zake Bwana

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Huniongoza Mwokozi 5814856
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Tazama Tazama 7482442