Nimekutumaini Wewe
| Nimekutumaini Wewe | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Zaburi |
| Composer | Joseph Makoye |
| Views | 4,437 |
Nimekutumaini Wewe Lyrics
Nimekutumaini wewe e Bwana,
nimekutumaini wewe ee Bwana
Nimesema wewe u Mungu wangu,
siku zangu zimo mikononi mwako- Nimekukimbilia wewe ee bwana
Nisiaibike milele, kwa haki yako yako uniponye - Wewe ndiwe genge langu na ngome yangu
kwa ajili ya jina lako, uniongoze unichunge - Wewe ni nuru yangu unimulike
wewe ndiwe wokovu wangu, uniokoe na adui