Hubirini kwa Kuimba
Hubirini kwa Kuimba | |
---|---|
Performed by | St. Maurus Kurasini |
Album | Hubirini Kwa Kuimba |
Category | Zaburi |
Composer | Joseph Makoye |
Views | 7,697 |
Hubirini kwa Kuimba Lyrics
Hubirini kwa sauti ya kuimba
Tangazeni tangazeni haya,
Yatamkeni mpaka mwisho wa dunia
Semeni Bwana amelikomboa taifa lake
Aleluya, aleluya, aleluya, Aleluya- Mpigieni Mungu kelele za shangwe nchi yote
Imbeni tukufu wa jina lake - Tukuzeni sifa zake, mwambieni Mungu
Matendo yako yanatisha kama nini - Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu
Kama mwanzo na sasa na siku zote, na milele amina