Hubirini kwa Kuimba Lyrics

HUBIRINI KWA KUIMBA

@ Joseph Makoye

Hubirini kwa sauti ya kuimba
Tangazeni tangazeni haya,
Yatamkeni mpaka mwisho wa dunia
Semeni Bwana amelikomboa taifa lake
Aleluya, aleluya, aleluya, Aleluya

  1. Mpigieni Mungu kelele za shangwe nchi yote
    Imbeni tukufu wa jina lake
  2. Tukuzeni sifa zake, mwambieni Mungu
    Matendo yako yanatisha kama nini
  3. Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu
    Kama mwanzo na sasa na siku zote, na milele amina
Hubirini kwa Kuimba
COMPOSERJoseph Makoye
CHOIRSt. Maurus Kurasini
ALBUMHubirini Kwa Kuimba
CATEGORYZaburi
MUSIC KEYC Major
TIME SIGNATURE4
4
NOTES Open PDF
  • Comments