Ee Bwana Unifadhili
Ee Bwana Unifadhili | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Zaburi |
Composer | Joseph Makoye |
Views | 11,598 |
Ee Bwana Unifadhili Lyrics
{Ee Bwana unifadhili, maana nakulilia wewe mchana kutwa
Kwa maana wewe Bwana u mwema, umekuwa tayari kusamehe
Na mwingi wa fadhili kwa watu wote wakuitaao } * 2- Siku ya mateso yangu nitakuita
Kwa maana utaniitikia - Ee Bwana unifundishe njia zako
Nitakwenda katika kweli yako
Recorded by
* Kwaya Familia Takatifu, St. Joseph Cathedral Dsm