Ee Bwana Unifadhili

Ee Bwana Unifadhili
Performed by-
CategoryZaburi
ComposerJoseph Makoye
Views9,641

Ee Bwana Unifadhili Lyrics

  1. {Ee Bwana unifadhili, maana nakulilia wewe mchana kutwa
    Kwa maana wewe Bwana u mwema, umekuwa tayari kusamehe
    Na mwingi wa fadhili kwa watu wote wakuitaao } * 2

  2. Siku ya mateso yangu nitakuita
    Kwa maana utaniitikia
  3. Ee Bwana unifundishe njia zako
    Nitakwenda katika kweli yako
Recorded by * Kwaya Familia Takatifu, St. Joseph Cathedral Dsm