Ee Bwana Unihukumu

Ee Bwana Unihukumu
Performed by-
CategoryZaburi
ComposerJoseph Makoye
Views6,289

Ee Bwana Unihukumu Lyrics

  1. {Ee Bwana unihukumu unitetee kwa taifa lisilo haki
    Uniokoe na mtu wa hila asiye haki
    Kwa kuwa wewe ndiwe Mungu uliye nguvu zangu } * 2

  2. Niletewe nuru yako na kweli yako ziniongoze
    Zinifikishe kwenye mlima wako mtakatifu, na hata maskani zako
  3. Hivyo nitakwenda madhabahuni kwa Mungu
    Kwa Mungu aliye furaha yangu na shangwe yangu
  4. Nitakusifu kwa kinubi, ee Mungu, Mungu wangu
Recorded by * Kwaya ya Familia Takatifu,St. Joseph athedral Dar-es-Salaam