Ee Bwana Unihukumu

Ee Bwana Unihukumu
Choir-
CategoryZaburi
ComposerJoseph Makoye

Ee Bwana Unihukumu Lyrics

 1. {Ee Bwana unihukumu unitetee kwa taifa lisilo haki
  Uniokoe na mtu wa hila asiye haki
  Kwa kuwa wewe ndiwe Mungu uliye nguvu zangu } * 2

 2. Niletewe nuru yako na kweli yako ziniongoze
  Zinifikishe kwenye mlima wako mtakatifu, na hata maskani zako
 3. Hivyo nitakwenda madhabahuni kwa Mungu
  Kwa Mungu aliye furaha yangu na shangwe yangu
 4. Nitakusifu kwa kinubi, ee Mungu, Mungu wangu