Heri Amkumbukaye Mnyonge

Heri Amkumbukaye Mnyonge
Performed byKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
AlbumKando ya Mito
CategoryZaburi
ComposerGabriel C. Mkude
Views6,550

Heri Amkumbukaye Mnyonge Lyrics

  1. {Heri amkumbukaye mnyonge ataokolewa siku ya tabu
    Bwana atamlinda na kumhifadhi na kumhifadhi hai } * 2

  2. Na atamtegemeza atamtegemeza alipo
    Atamtegemeza alipo mgonjwa mgonjwa wa kitandani
  3. Katika ugonjwa wake, nawe umemtandikia
    Na mimi nalisema Bwana unifadhili unifadhili mimi
  4. Katika ukamilifu wake, umeniweka mbele ya uso
    Na umeniweka mbele ya uso wako na uso wako milele