Heri Amkumbukaye Mnyonge

Heri Amkumbukaye Mnyonge
ChoirKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
AlbumKando ya Mito
CategoryZaburi
ComposerGabriel C. Mkude
SourceSt. Theresa Cathedral Arusha Tanzania
ReferenceZaburi 41

Heri Amkumbukaye Mnyonge Lyrics

{Heri amkumbukaye mnyonge ataokolewa siku ya tabu
Bwana atamlinda na kumhifadhi na kumhifadhi hai } * 2


1. Na atamtegemeza atamtegemeza alipo
Atamtegemeza alipo mgonjwa mgonjwa wa kitandani

2. Katika ugonjwa wake, nawe umemtandikia
Na mimi nalisema Bwana unifadhili unifadhili mimi

3. Katika ukamilifu wake, umeniweka mbele ya uso
Na umeniweka mbele ya uso wako na uso wako milele

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442