Tumekuwa Mashujaa
Tumekuwa Mashujaa | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Ubatizo |
Composer | Joseph Makoye |
Views | 3,143 |
Tumekuwa Mashujaa Lyrics
Tumekuwa mashujaa wa Bwana Yesu * 2
Tumekuwa mashujaa wa Bwana Yesu * 2- Roho wa Mungu awe nasi siku zote
Atujalie paji hekima - Roho wa Mungu awe nasi siku zote
Atujalie paji la elimu - Roho wa Mungu awe nasi siku zote
Atujalie paji la utashi