Neema Mliyoipata
Neema Mliyoipata |
---|
Performed by | - |
Album | Kwa Wingi wa Fadhili |
Category | Ekaristia (Eucharist) |
Composer | Gabriel C. Mkude |
Views | 6,081 |
Neema Mliyoipata Lyrics
Neema mliyoipata muitunze, neema hiyo ya karamu yake Bwana
Neema ya upendo neema ya amani,
neema ya furaha neema ya faraja, Neema muitunze,
neema na baraka zake Bwana Yesu Kristu
- Neema mliyoipata ni neema yake Mungu,
Amewalisha chakula kutoka Mbinguni
- Neema mliyoipata ni neema yake Mungu,
Amewanyesha kinyaji kutoka Mbinguni
- Neema mliyoipata ni neema yake Mungu,
Amewashibisha kwa mwili na damu yake