Neema Mliyoipata

Neema Mliyoipata
Performed by-
AlbumKwa Wingi wa Fadhili
CategoryEkaristia (Eucharist)
ComposerGabriel C. Mkude
Views5,825

Neema Mliyoipata Lyrics

  1. Neema mliyoipata muitunze, neema hiyo ya karamu yake Bwana
    Neema ya upendo neema ya amani,
    neema ya furaha neema ya faraja, Neema muitunze,
    neema na baraka zake Bwana Yesu Kristu

  2. Neema mliyoipata ni neema yake Mungu,
    Amewalisha chakula kutoka Mbinguni
  3. Neema mliyoipata ni neema yake Mungu,
    Amewanyesha kinyaji kutoka Mbinguni
  4. Neema mliyoipata ni neema yake Mungu,
    Amewashibisha kwa mwili na damu yake