Naye Autengenezaye Mwenendo
| Naye Autengenezaye Mwenendo |
|---|
| Performed by | - |
| Album | Kwa Wingi wa Fadhili |
| Category | Zaburi |
| Views | 3,238 |
Naye Autengenezaye Mwenendo Lyrics
Naye autengenezaye mwenendo wake mwenyewe
Nitamuonyesha nitamuonyesha wokovu wa Mungu
Naye autengenezaye mwenendo wake mwenyewe
Nitamuonyesha nitamuonyesha wokovu wa Mungu
- Mungu Mungu mwana amenena ameiita nchi
Toka mawio ya jua hata machweo yake
Sitakukemea kwa ajili dhabihu zako
Na kafara zako ziko mbele yangu daima
- Kama ningekuwa na njaa singekuambia
Maana ulimwengu ni wangu navyo viujazavyo
Je nile nyama nyama ya mafahari
au ninywe ninywe damu ninywe damu ya mbuzi
- Mtolee Mungu dhabihu za kushukuru
Mtimizie aliye juu nadhiri zake
Ukaniite siku siku ya mateso
Nitakuokoa nawewe utanitukuza