Mungu Unihifadhi Mimi
| Mungu Unihifadhi Mimi | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Zaburi |
| Composer | T. P. H. Kessy |
| Views | 13,562 |
Mungu Unihifadhi Mimi Lyrics
Mungu unihifadhi mimi, unihifadhi mimi,
Kwa maana nakukimbilia wewe
Unihifadhi mimi, unihifadhi mimi,
Kwa maana nakukimbilia wewe- Bwana ndiye fungu, fungu la posho langu
Wewe unaishika kula yangu - Nimeweka Bwana mbele yangu daima
Yuko kuumeni kwangu sitaondoshwa - Moyo wangu Bwana, na unafurahi
Nao mwili unakaa kwa matumaini