Kando ya Mito
Kando ya Mito | |
---|---|
Performed by | Kwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha |
Album | Kando ya Mito |
Category | Zaburi |
Composer | Gabriel C. Mkude |
Views | 12,233 |
Kando ya Mito Lyrics
{ Kando ya mito ya Babeli ndiko tulikoketi
Tukalia tulipoikumbuka kumbuka Sayuni } *2- Katika miti iliyo katikati yake
Tulivitundika vinubi vinubi vyetu - Maana huko walituchukua mateka
Na walitaka tuwaimbie nyimbo za Sayuni - Na tuimbeje nyimbo nyimbo zake wa Bwana
Katika nchi ya ugenini ee Yerusaleme - Ulimi wangu na ugandamane
Na kaa la kinywa changu nisipokukumbuka