Naimba na Kucheza
Naimba na Kucheza | |
---|---|
Performed by | Kwaya ya Moyo Safi wa Bikira Maria, Unga Limited Arusha |
Album | Tufurahi |
Category | Thanksgiving / Shukrani |
Composer | Fikara Mawona |
Views | 3,985 |
Naimba na Kucheza Lyrics
- Ni nani aliyenifia msalabani, ni Yesu Kristu * 2
Leo naimba na kucheza, kwani ninaye Yesu (leo)
Anilinda popote (kweli) ashangiliwe - Ni nani aliyenijalia afya njema , ni Yesu Kristu * 2
- Ni nani huyu anayenilinda daima, ni Yesu Kristu * 2
- Na mali zangu zote, ni nani amenipa, ni Yesu Kristu * 2
- Tumchezee ngoma, tumuimbie nyimbo, ni Yesu Kristu * 2