Login | Register

Sauti za Kuimba

Naimba na Kucheza Lyrics

NAIMBA NA KUCHEZA

@ Fikara Mawona

  1. Ni nani aliyenifia msalabani, ni Yesu Kristu * 2

    Leo naimba na kucheza, kwani ninaye Yesu (leo)
    Anilinda popote (kweli) ashangiliwe

  2. Ni nani aliyenijalia afya njema , ni Yesu Kristu * 2
  3. Ni nani huyu anayenilinda daima, ni Yesu Kristu * 2
  4. Na mali zangu zote, ni nani amenipa, ni Yesu Kristu * 2
  5. Tumchezee ngoma, tumuimbie nyimbo, ni Yesu Kristu * 2
Naimba na Kucheza
COMPOSERFikara Mawona
CHOIRKwaya ya Moyo Safi wa Bikira Maria, Unga Limited Arusha
ALBUMTufurahi
CATEGORYThanksgiving / Shukrani
  • Comments