Ninajisikia Furaha

Ninajisikia Furaha
Performed by-
AlbumTufurahi
CategoryGeneral
ComposerGabriel C. Mkude
Views3,958

Ninajisikia Furaha Lyrics

 1. Ninajisikia furaha ninapolitaja
  Na ninapolisifu jina lako ee Mungu wangu

 2. Jina lako ndilo kuu, jina lako ni uzima
  Jina lako ndiyo roho iletayo nuru
 3. Jina lako li tukufu, jina lako takatifu
  Malaika wanaliimbia kwa furaha
 4. Jina lako laniponya, jina lako lanilinda
  Jina lako nikitaja napata faraja