Kila Kilicho Juu
| Kila Kilicho Juu | |
|---|---|
| Performed by | Kwaya ya Moyo Safi wa Bikira Maria, Unga Limited Arusha |
| Album | Milele Milele Nitakusifu |
| Category | Tafakari |
| Views | 18,873 |
Kila Kilicho Juu Lyrics
Kila kilicho juu ya nchi,
ni mali yake Bwana, mwumba mbingu
Kila kilicho juu ya nchi,
ni mali yake Bwana, mwumba mbingu- Mashamba ya Mungu, (yote) yote ya Mungu * 2
Mazao ya Mungu, (yote) yote ya Mungu * 2 - Mifugo ya Mungu, (yote) yote ya Mungu * 2
Bahari ya Mungu, (yote) yote ya Mungu * 2 - Na nyumba za Mungu, (zote) zote za Mungu * 2
Na fedha za Mungu, (zote) zote za Mungu * 2 - Milima ya Mungu, (yote) yote ya Mungu * 2
Wanyama wa Mungu, (wote) wote wa Mungu * 2