Bwana Ndiye Mchungaji
Bwana Ndiye Mchungaji | |
---|---|
Performed by | St. Monica Lower Kabete Campus UoN |
Album | Uwe Nami Bwana |
Category | Zaburi |
Composer | JohnBosco Hosea |
Views | 5,270 |
Bwana Ndiye Mchungaji Lyrics
Bwana ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa (mimi)
Katika majani mabichi Bwana hunilaza
(Kando ya maji yenye utulivu huniongoza x2)- Huihuisha nafsi yangu na kuniongoza
Kwenye njia za haki, kwa jina lake x2 - Umeandaa meza mbele yangu ee Bwana
Umeandaa machoni pa watesi wangu x2 - Umenipaka mafuta kichwani pangu Bwana
Kikombe changu kimejaa kinafurika x2 - Wema wako fadhili zako zitanifuata,
Nami nitakaa nyumbani mwa Bwana millele x2