Bwana Amenituma

Bwana Amenituma
Performed by-
AlbumNimevipiga Vita
CategoryInjili na Miito (Gospel)
Views11,591

Bwana Amenituma Lyrics

  1. (Bwana) Amenituma (mimi)
    amenituma kuwahubiri mataifa habari njema
    (Bwana) Amenituma (mimi)
    amenituma kuwahubiri mataifa habari njema

  2. Amenituma kuwatangazia wafungwa,
    wafungwa kufunguliwa kwao *2
  3. Na vipofu kupata kuona tena
    kuwaacha huru waliotekwa * 2
  4. Na kutangaza kutangaza mwaka wa Bwana, w
    a Bwana uliokubaliwa