Kishindo

Kishindo
Performed bySt. Francis Xavier Lindi
AlbumKishindo
CategoryUtume wa Uimbaji
ComposerBernard Mukasa
Views4,433

Kishindo Lyrics

  1. {Mh Ni kishindo kikubwa kimejaa nyimbo, kishindo kikubwa
    Kimejaa tenzi, kishindo, kishindo, cha masifu kishindo,
    kishindo, kishindo, kishindo cha heshima kishindo } * 2

  2. Watu wa Mungu tumekusanyika twendeni kwa Mungu,
    Tukaimbe sifa, kishindo, haa- kishindo
  3. Kwa ujasiri na kwa uhakika, kanyageni twende,
    Wakati ni wetu, kishindo, haa- kishindo
  4. Paza sauti kwa kujiamini, imbeni kwa nguvu,
    Nafasi ni yetu, kishindo, haa- kishindo