Mwili Wako
Mwili Wako | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Ekaristia (Eucharist) |
Composer | F. A. Nyundo |
Views | 4,071 |
Mwili Wako Lyrics
Mwili wako na damu yako imetushibisha
Karamu uliyoandaa imetushibisha- Mwili wako tunaokula ni chakula kweli
Damu yako tunayokunywa ni kinywaji safi - Tukipokea kwa imani tutaokoka tu
Karibu Yes undani yetu ukae daima - Kaa nasi Ee Yesu mwema utupe uzima
Utupe nguvu Rohoni mwetu milele milele - Mwili wako na damu yako vyatushirikisha
Uzidi pia kutualika kwenye meza yako - Upendo wako Yesu mwema, utuzidishie
Utuongoze maishani na tukufikie