Njooni Sikilizeni

Njooni Sikilizeni
Performed bySt. Joseph Cathedral Dar-es-Salaam
CategoryTafakari
Views4,203

Njooni Sikilizeni Lyrics

  1. Njooni sikilizeni, makuu ya Bwana *2

  2. Omba kwangu nami nitakupa
    Maarifa kuwa urithi wako
  3. Omba kwangu nami nitakupa
    Kingo za dunia kuwa mali yako
  4. Utawaponda kwa fimbo ya chuma
    Tawavunja kama chombo cha mfinyaji
  5. Mtumikieni Bwana kwa kicho
    Shangilieni kwa kutetemeka
  6. Shikeni basi yaliyo bora
    Asije akafanya hasira