Njooni Sikilizeni Lyrics

NJOONI SIKILIZENI

Njooni sikilizeni, makuu ya Bwana *2

 1. Omba kwangu nami nitakupa
  Maarifa kuwa urithi wako
 2. Omba kwangu nami nitakupa
  Kingo za dunia kuwa mali yako
 3. Utawaponda kwa fimbo ya chuma
  Tawavunja kama chombo cha mfinyaji
 4. Mtumikieni Bwana kwa kicho
  Shangilieni kwa kutetemeka
 5. Shikeni basi yaliyo bora
  Asije akafanya hasira
Njooni Sikilizeni
CHOIRSt. Joseph Cathedral Dar-es-Salaam
CATEGORYTafakari
 • Comments